Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nyinyi mnaogomea mkataba hizo akili hamna kabisa kiufupi wewe ni mzimu ..Wewe makalio kweli warudishe hela gani waliyochukua? Makabwili akili zenu ziko makalioni
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Anaijua lugha ya malkia uyo?Hoja zikizoko kwenye ile barua ulizielewa? Kama hujazielewa nenda kasome tena halafu urudi usome hiki ukichoandika hapa.
Wewe Ni mjinga unaeelekea kuwa mpumbavu.TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM?
Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini timu zingine hawajahoji? Nyie ndo mna mawakili wasomi tu eeh?
Sasa chagueni moja mjadala uishe;
1. Kuleta timu uwanjani Jersey zenu zikiwa na Nembo ya boss mkubwa au msuse (Mmepata pa kujificha kuogopa aibu ya kipigo cha mbwa mwizi).
2. Muendelee kuamini Mapopoma wenu wanaoongozwa na GENTAMYCINE na genge lake la wachawi wanaowaaminisha kwamba mtashinda kichawi mbele ya Yanga (wanaomtegemea Mungu) au kumtegemea Mungu.
3. Kuandika barua kwa bodi ya ligi ili isogeze derby iwe mwakani ambapo mtakuwa mmesajili au mlete vikongwe wenu mpate aibu aibu ya kufunga mwaka.
4. Kama hamtaki kuvaa Nembo rudisheni hela za boss🤣🤣🤣
Mdau ongeza chaguzi zingine ili iwe rahisi kuwapa wigo mpana wa kuchagua (OPTIONS)Kilicho bora zaidi.
Naona unawashwa sana.Vumilia dadangu jumamosi siyo mbali utakunwa tu vzuri.Wewe Ni mjinga unaeelekea kuwa mpumbavu.
Kwamba Jana nilitenda uhalifu hamkunikamata leo nimefanya uhalifu mwingine, kwanini mnanikamata wakati Jana nilipotenda hamkunikamata.
Hiyo ndiyo HOJA yako. Zuzu km zuzu! Hamna akili.
Huyo Tumbili jesemu kama amekosa sehemu ya kuweka hiyo nembo yake akaweke kwenye chupi ya manara au kwenye mwiko uliopo nyuma ya WANAUTOPOLO.
Asituletee ukabwili hapa.
Dfb ni benki mkuu fanya utafiti vizuriTipico ni kampuni ya Kamari, imeidhamini Bundesliga kupitia DFB, Hambarg SV na Bayern Munich. Ni kawaida. Hizi Ni biashara kama biashara nyingine
Kwanini kwa Hersi na GSM iwe nongwa!?
Utopolo waheedHawa ni wapuuzi tu ni genge fulani hivi la wahuni wanaleta porojo za kupotezeana muda tu, wanasema awakushirikishwa sijui mikataba yote ya wadhamini ya tff uwa wanashirikishwa?
Na ili kujua kwamba hoja zao hazina mashiko kwenye andiko lao wameilenga gsm na yanga wakati mkataba ni baina ya gsm na tff, gsm ni kampuni inayojitegemea na aimiliki timu yoyote ligi kuu ivyo hoja ya mgongano wa kimaslahi haina mashiko.
Halafu Kama wanakataa kuvaa nembo ya gsm basi na wao wamwambie mo awake mzigo wa udhamini atangaze viberiti vyake na yeye logo yake iwekwe kwenye jezi zaidi ya hapo mi naona ni ujinga wa hawa mbumbumbu ambao wivu unawasumbua dhidi ya gsm ambao wanaona Kama vile wamekuwa tishio kwao
....Baelezeee hao makolo FC.. wakijibu hizi nondo ulizoshusha hapa kuhusu udhamini wa South Africa, German na France pls nitag mwananchi mwenzanguTipico ni kampuni ya Kamari, imeidhamini Bundesliga kupitia DFB, Hambarg SV na Bayern Munich. Ni kawaida. Hizi Ni biashara kama biashara nyingine
Kwanini kwa Hersi na GSM iwe nongwa!?
Kuongea rahisi sana mdau ila kutenda unachokitaka sahauTFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM?
Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini timu zingine hawajahoji? Nyie ndo mna mawakili wasomi tu eeh?
Sasa chagueni moja mjadala uishe;
1. Kuleta timu uwanjani Jersey zenu zikiwa na Nembo ya boss mkubwa au msuse (Mmepata pa kujificha kuogopa aibu ya kipigo cha mbwa mwizi).
2. Muendelee kuamini Mapopoma wenu wanaoongozwa na GENTAMYCINE na genge lake la wachawi wanaowaaminisha kwamba mtashinda kichawi mbele ya Yanga (wanaomtegemea Mungu) au kumtegemea Mungu.
3. Kuandika barua kwa bodi ya ligi ili isogeze derby iwe mwakani ambapo mtakuwa mmesajili au mlete vikongwe wenu mpate aibu aibu ya kufunga mwaka.
4. Kama hamtaki kuvaa Nembo rudisheni hela za boss🤣🤣🤣
Mdau ongeza chaguzi zingine ili iwe rahisi kuwapa wigo mpana wa kuchagua (OPTIONS)Kilicho bora zaidi.
mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki? Hakuna anayekataa udhamini wa GSM Ila wapi umeona nembo za kit suppliers wawili kwenye jezi moja?mbona mmekuwa wapumbavu sanaNyie ni mataahira tu, Manara ni brand ambasador wa gsm ulitaka asiwepo? Eng, hersi ni mkuu wa idara ya uwekezaji gsm mlitaka asiwepo? Kwaiyo nyie siku izi mnawapangia watu na kampuni zao waendesheje taasisi zao? Kuwepo kwao yanga aiwazuii kutofanya shughuli walizopangiwa na mwajiri wao eti kwasababu wapo yanga, kwani wakati Gharibu anamuajiri hersi alikuwa anajua atakuja kuchaguliwa kuingia kwenye kamati ya utendaji ya yanga? Au wakati anamuajiri alijua kuna siku ataidhamini ligi kuu? Sababu za ovyo ovyo izo hazina mashiko kwa mtu mwenye akili timamu
Hiyo jumamos kwetu sisi ni mechi km mechi nyingine.Naona unawashwa sana.Vumilia dadangu jumamosi siyo mbali utakunwa tu vzuri.