Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 490
Woooodaaah... Chid Benz "Benzino" Chuma Cha Pua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilala Boma kuna pori au ndo kiki ya kugombea jina. Nakumbuka verse moja "wengine watoboa naogopa wasije kunipiga mbata". Haendi kurekodi huyo, atakuwa anapeleka.Simba dume kutoka Ilala boma(maana Tandale hamna simba) limesema linataka kwenda sauzi na kukaa miezi mitatu kutengeneza na kushoot video kwa ajili ya album yake mpya huku mastaa kibao kutoka Nigeria,Tz na Sauzi wakitaka kuweka sauti zao kwenye album hiyo.
Chidy alidai anaangalia kati ya Tekno,Davido,Don jazz na Wizkid nani akakae na nani amuache ili album yake isije ikasound kinaijeria sana kuliko kibongo na kuhusu nani anamuogopa kwny game sasa alisema "nilkuwa namuogopa marehem ngwea pekee"
Kwa maana hiyo Simba kurudi tena kutafanya wasanii kama weusi,ney,izzo na wengine wakose rotation nzuri kwenye redio station.
Karibu sana chidy kwny seat yako maana ilianza kupata vumbi
Akikusikiaaa..😱Rekebisha title sio chidy Benz tena ni chidy vits
Utasimama hapo usubiri sana kama mshumaa wa pasaka.Kwa muda mrefu jamaa amekuwa kimya sana kwenye game, wacha tusubiri kazi atakazozitoa tuzione.
Kama akija kuwa juu Kama mwanzo akatambike!Simba dume kutoka Ilala boma(maana Tandale hamna simba) limesema linataka kwenda sauzi na kukaa miezi mitatu kutengeneza na kushoot video kwa ajili ya album yake mpya huku mastaa kibao kutoka Nigeria,Tz na Sauzi wakitaka kuweka sauti zao kwenye album hiyo.