Simba Chidy Benz kwenda sauzi kurekodi albamu

Ilala Boma kuna pori au ndo kiki ya kugombea jina. Nakumbuka verse moja "wengine watoboa naogopa wasije kunipiga mbata". Haendi kurekodi huyo, atakuwa anapeleka.
 
Kashindwa kurekodia hapa south ataweza? Asije akawa anapeleka mambo yake yaleee! Mlio karibu yake mwambien awe muangalifu yasitokee ya Ngwea!
 
Hiyo shuhuli anayoifata huko SA ahakikishe anaifanya kwa umakini mkubwa yaliyomkuta Ngwea tunayakumbuka bado.
 
Kama akirudi kwenye
Kama akija kuwa juu Kama mwanzo akatambike!
 
Dah! Huyu ni chidi jamani? Kwenye io picha
 
Mara nyingine najiuliza
una uzuri wa namna gani?
na ninashindwa pata jibu,
Ukiwepo we ndio chanzo
cha kunipoza nafsi yangu
ninapopata majaribu,
Nakuaminii........... nipe raha za duniaaa

Daaaah huyu mshkaji sijui alikoseaga wapi? nakumbuka kipindi hiko anakipindi chake Eatv kilikuwa hakinipiti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…