Simba chukueni hatua akina Chama wameridhika mno

Simba chukueni hatua akina Chama wameridhika mno

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Viongozi wa Simba Mashabiki na wanachama liangalieni sana suala la wachezaji wa Simba kuna wachezaji SImba wameridhika na matokeo ya huko Nyuma hawajitumi wala kuumia. Mfano Chama anakosa goli wala hauumiii, Mwakani tulete damu nyingine yenye uchu wa matokeo.

Why mwl hawachezeshi PHIRI na OKRAH why??? SIMBA Viongozi na wanachama tupaze sauti mwakani tuwe na wachezaji kama 6 wapya wenye uchu wa matokeo hawa wawe sub

CHAMA, KANOUTE, SAIDO TULETE watu wengine wachukue namba zaooo wameridhika sana kuendelea kuwategemea wale wale miaka yote hatutoboi wanasimba wenzangu.

HAWA WA KUONDOA
MKUDE
OKWA
NYONI
JIMMYSON
KYOMBO
ALI SALIMU - MKOPO APATE UZOEFU BADO SANA KATUCHOMA SANA
AKPAN

NI HAYO TU
 
Sawa tutamfukuza haraka sana, tutamnunua Bruno kijana kama mbadala
 
Maoni mazuri yenye uhalisia Chama hapana labda wamepangwa na Mo ili ukubwa na umuhimu wa Mo uonekane, wachezaji hawapiganii jezi ya Simba SC
 
Mashabiki wa simba bhana! Chama huyo huyo miezi michache iliyopita, mlikuwa mnamtukuza kweli kweli!! Amekosa goli kwenye mechi moja tu, tayari mnamtengenezea zengwe!
 
Chama anajiona untouchable, na hii imefanywa na mashabiki
 
Nawaambieni Simba, kama hamttoa Chama, mtabaki na timu butu hadi aondoke.
 
ROBERTINHO AKIMTOA CHAMA UWANJA MZIMA UNALIPUKA.

TUWE NA KUMBUKUMBU JAMNI.

CHAMA NDIO MAANA ANAJIDAI SANA.



IRP. HANSI POPE.
 
Mwezi March 2023 hautatoka kwenye kumbukumbu zangu kisoka. Ni mwezi àmbao Kwa mara ya Kwanza Tangu nianze kushabikia soka Juni, 1980 mashabiki waliamdamana kushinikiza kocha afuate mfumo wa mchezaji.
 
Back
Top Bottom