Simba contracted Gamondi after amazing season with Yanga

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Simba has offered Gamondi a contract to be their next manager after Young Africans season contract ended.

Gamondi is yet to make decisions.
🤔 😂😂

Screenshot_20240604_132526_Chrome.jpg
 
simba has offered gamondi a contract to be their next manager after young Africans season contract ended.

gamondi is yet to make decisions.
🤔 😂😂

View attachment 3008187
Uwa sielewi Jani mnalotumiaga ni la arusha ama la Tarime, Yani gamond aache kukubali offer ya yanga aende kuifundisha timu inayoshusha CV za makocha Kila kukicha? Ni kocha Gani anayejitambua anaweza kwenda kuifundisha timu yenye makandokando kibao na atoke kwenye timu ambayo Ina mafanikio na mipango mathubuti kuanzia kwenye uongozi mpaka chini, muda mwingine muwe mnafikiria kwa kutumia vichwa vyenu na sio matumbo bro!
 
it's money, football is money a better offer attracts the maid
 
Ata Kama pesa sio Kila kitu, kocha mwenye malengo awezi kuingia huo mkenge nafikiri BENCHIKHA alipata somo tosha sembuse gamond anayeijua Simba matatizo waliyonayo, Na iyo pesa Simba ana pesa Gani kwa sasa ya kushindana na yanga sokoni? Yanga kwa sasa ni timu inayowavutia makocha wengi na wachezaji wengi ivyo Simba awezi kufua dafu kwenye suala la kushindania kocha ama mchezaji mtabaki na propaganda zenu izo ambazo ni mfu
 
1. simba is owned by a billionaire

2. usimsemee gamondi, nae anamipango yake. na plan zake.

3. yanga are 2 seasons in caf, it has alot to learn. to regard them as the best.
 
Bado simkubali, may be next season ani prove wrong
Ukisikia shobo ndio hizi, haumkubali ila kila mara kumuanzishia nyuzi. Kuna mwana hip hop mmoja sijui ni nani na kwenye nyimbo gani ila kuna mstari anasema "unajifanya una ni dis kumbe moyoni mwako unanikubali kiaina" ndio wewe jamaa saivi umemkubali Gamondi ila ndio maana umeandika "amazing season"
 
naenda na tread tu. sina issue na gamondi.
 
Back
Top Bottom