Simba contracted Gamondi after amazing season with Yanga

Simba contracted Gamondi after amazing season with Yanga

naenda na tread tu. sina issue na gamondi.
Sawa usichoke komaa sana kutupaishia kuhusu Gamondi. Ulileta nyuzi mfululizo za negative side kwa Gamondi ila saivi kutwa kuleta uzi za positive side kwa Gamondi. Kocha kugombaniwa hutokana na CV yake kujengeka. Gamondi angekuwa ni wa ovyo, asingegombaniwa kwako chambuzi mwasi kitoko.
 
Hahahahaha...kwani Rage alikosea
 
1. simba is owned by a billionaire

2. usimsemee gamondi, nae anamipango yake. na plan zake.

3. yanga are 2 seasons in caf, it has alot to learn. to regard them as the best.
Biliionaire kwa kusajili kina jobe,,Kama anazo pesa mbona anakwenda kusajili wachezaji wasioendana na ubilionea wake? Propaganda ndizo zinaididimiza Simba wenzenu wanafanya kweli nyie mnaigiza matokeo yake ndo mnaishia kushika nafasi ya tatu
 
Uwa sielewi Jani mnalotumiaga ni la arusha ama la Tarime, Yani gamond aache kukubali offer ya yanga aende kuifundisha timu inayoshusha CV za makocha Kila kukicha?
Kila mtu ana vipaumbele vyake. Wewe ungeng'ang'ania CV, mwingine angeng'ang'ania hela. Mwisho wa siku za mwili kuweza kufanya kazi, kila mmoja atafurahia alichong'ang'ania
 
Uje na uzi mpya kuwa Gamondi kaamua kuendelea kuifundisha Yanga na kuzikataa ofa za Simba, Kaizer chiefs, na USMA.
 
Back
Top Bottom