Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
team nzima ya yanga ina offer mezani. mengi utajionea in this transferYanga nowdays imekuwa timu kubwa sana Africa, kila msimu lazima tunyang'anywe watu wetu muhimu.
MAKOLO wanachakujifunza japo huwa wanakaza shingo!
Waondoke wote ila sio Engineer!!team nzima ya yanga ina offer mezani. mengi utajionea in this transfer
nae ni binadamu, sio mungu.Waondoke wote ila sio Engineer!!
Uwa sielewi Jani mnalotumiaga ni la arusha ama la Tarime, Yani gamond aache kukubali offer ya yanga aende kuifundisha timu inayoshusha CV za makocha Kila kukicha? Ni kocha Gani anayejitambua anaweza kwenda kuifundisha timu yenye makandokando kibao na atoke kwenye timu ambayo Ina mafanikio na mipango mathubuti kuanzia kwenye uongozi mpaka chini, muda mwingine muwe mnafikiria kwa kutumia vichwa vyenu na sio matumbo bro!simba has offered gamondi a contract to be their next manager after young Africans season contract ended.
gamondi is yet to make decisions.
π€ ππ
View attachment 3008187
it's money, football is money a better offer attracts the maidUwa sielewi Jani mnalotumiaga ni la arusha ama la Tarime, Yani gamond aache kukubali offer ya yanga aende kuifundisha timu inayoshusha CV za makocha Kila kukicha? Ni kocha Gani anayejitambua anaweza kwenda kuifundisha timu yenye makandokando kibao na atoke kwenye timu ambayo Ina mafanikio na mipango mathubuti kuanzia kwenye uongozi mpaka chini, muda mwingine muwe mnafikiria kwa kutumia vichwa vyenu na sio matumbo bro!
Ata Kama pesa sio Kila kitu, kocha mwenye malengo awezi kuingia huo mkenge nafikiri BENCHIKHA alipata somo tosha sembuse gamond anayeijua Simba matatizo waliyonayo, Na iyo pesa Simba ana pesa Gani kwa sasa ya kushindana na yanga sokoni? Yanga kwa sasa ni timu inayowavutia makocha wengi na wachezaji wengi ivyo Simba awezi kufua dafu kwenye suala la kushindania kocha ama mchezaji mtabaki na propaganda zenu izo ambazo ni mfuit's money, football is money a better offer attracts the maid
simba has offered gamondi a contract to be their next manager after young Africans season contract ended.
gamondi is yet to make decisions.
π€ ππ
View attachment 3008187
1. simba is owned by a billionaireAta Kama pesa sio Kila kitu, kocha mwenye malengo awezi kuingia huo mkenge nafikiri BENCHIKHA alipata somo tosha sembuse gamond anayeijua Simba matatizo waliyonayo, Na iyo pesa Simba ana pesa Gani kwa sasa ya kushindana na yanga sokoni? Yanga kwa sasa ni timu inayowavutia makocha wengi na wachezaji wengi ivyo Simba awezi kufua dafu kwenye suala la kushindania kocha ama mchezaji mtabaki na propaganda zenu izo ambazo ni mfu
Huyu uliwahi kusema hana mbinu1. simba is owned by a billionaire
2. usimsemee gamondi, nae anamipango yake. na plan zake.
3. yanga 2 seasons in caf, it has alot to learn.
Bado simkubali, may be next season ani prove wrongHuyu uliwahi kusema hana mbinu
Ukisikia shobo ndio hizi, haumkubali ila kila mara kumuanzishia nyuzi. Kuna mwana hip hop mmoja sijui ni nani na kwenye nyimbo gani ila kuna mstari anasema "unajifanya una ni dis kumbe moyoni mwako unanikubali kiaina" ndio wewe jamaa saivi umemkubali Gamondi ila ndio maana umeandika "amazing season"Bado simkubali, may be next season ani prove wrong
naenda na tread tu. sina issue na gamondi.Ukisikia shobo ndio hizi, haumkubali ila kila mara kumuanzishia nyuzi. Kuna mwana hip hop mmoja sijui ni nani na kwenye nyimbo gani ila kuna mstari anasema "unajifanya una ni dis kumbe moyoni mwako unanikubali kiaina" ndio wewe jamaa saivi umemkubali Gamondi ila ndio maana umeandika "amazing season"