Sawa usichoke komaa sana kutupaishia kuhusu Gamondi. Ulileta nyuzi mfululizo za negative side kwa Gamondi ila saivi kutwa kuleta uzi za positive side kwa Gamondi. Kocha kugombaniwa hutokana na CV yake kujengeka. Gamondi angekuwa ni wa ovyo, asingegombaniwa kwako chambuzi mwasi kitoko.naenda na tread tu. sina issue na gamondi.
Hahahahaha...Bado simkubali, may be next season ani prove wrong
Hahahahaha...kwani Rage alikoseaSawa usichoke komaa sana kutupaishia kuhusu Gamondi. Ulileta nyuzi mfululizo za negative side kwa Gamondi ila saivi kutwa kuleta uzi za positive side kwa Gamondi. Kocha kugombaniwa hutokana na CV yake kujengeka. Gamondi angekuwa ni wa ovyo, asingegombaniwa kwako chambuzi mwasi kitoko.
Kumbe msimbazi tatizo ni kocha πΉπΉπΉsimba has offered gamondi a contract to be their next manager after young Africans season contract ended.
gamondi is yet to make decisions.
π€ ππ
View attachment 3008187
Biliionaire kwa kusajili kina jobe,,Kama anazo pesa mbona anakwenda kusajili wachezaji wasioendana na ubilionea wake? Propaganda ndizo zinaididimiza Simba wenzenu wanafanya kweli nyie mnaigiza matokeo yake ndo mnaishia kushika nafasi ya tatu1. simba is owned by a billionaire
2. usimsemee gamondi, nae anamipango yake. na plan zake.
3. yanga are 2 seasons in caf, it has alot to learn. to regard them as the best.
Yanga watamchukua Benchikasimba has offered gamondi a contract to be their next manager after young Africans season contract ended.
gamondi is yet to make decisions.
π€ ππ
View attachment 3008187
Kila mtu ana vipaumbele vyake. Wewe ungeng'ang'ania CV, mwingine angeng'ang'ania hela. Mwisho wa siku za mwili kuweza kufanya kazi, kila mmoja atafurahia alichong'ang'aniaUwa sielewi Jani mnalotumiaga ni la arusha ama la Tarime, Yani gamond aache kukubali offer ya yanga aende kuifundisha timu inayoshusha CV za makocha Kila kukicha?