Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Poa poa.Haina shaka Rafiki
Natumai umzima rafiki. Uwe na asubuhi njema.
[emoji120] [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa.Haina shaka Rafiki
Walienda kutaliì na kuogeleaHahahaaa. Yaani hamna jipya Swahiba.
Ahsante Rafiki mie mzima kbs ,asubuhi njema na kwako, napiga push ups kdg ,mwili ukae sawa karibuPoa poa.
Natumai umzima rafiki. Uwe na asubuhi njema.
[emoji120] [emoji120]
Ahsante rafiki.Ahsante Rafiki mie mzima kbs ,asubuhi njema na kwako, napiga push ups kdg ,mwili ukae sawa karibu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kabisaaaa.Walienda kutaliì na kuogelea
Sasa Rafiki mwili unauandaaje asubuhi hii? Njoo tutafanya pamoja mazoeziAhsante rafiki.
Hahahaaa. Lol. Ahsante ila zilishanishindaga hizo.
Kwa asubuhi hauna maandalizi aiseee. Ni kiasi cha kuamka na kukimbilia kuchemsha maji ya kuoga.Sasa Rafiki mwili unauandaaje asubuhi hii? Njoo tutafanya pamoja mazoezi
Daaaaah huu ni nini sehemu ya kulishia mifugoTaarifa zenu tunazo tunawasitiri tuView attachment 830430
Hamna jIpya hao Mezani/Kubebwa FC.Mikwara mingi ya uturuki anarudi tz anabarikiwa na droo hi si hatari kwa safari zake?
Mking'atwa na nyoka je?View attachment 830676
Rafiki ushapita kariakoo,kunichukulia mazaga zaga?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Niambie Mtani. [emoji2] [emoji2]
Khabari Mtani! Bogoshipo Mtani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Niambie Mtani. [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka uhame timu rafiki.Rafiki ushapita kariakoo,kunichukulia mazaga zaga?
Namshukuru Allah uzima upo Mtani.Khabari Mtani! Bogoshipo Mtani
Jana Nimekukumbukia Mule Kwa Mchina Sema Nikakosa Kifaa Tuuh! Sijuhi Ningemtuma Njiwa