Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Hahahahaha! Dah Ilo la Goli Cha Mtoto, Shuhuri Ilonipata Jana Ni Hatari.Namshukuru Allah uzima upo Mtani.
Kama mie nilivyokukumbuka wakati mmeanza kufungwa goli nikajisemea sijui mtani wangu Aminas ana hali gani huko aliko. Ungemtuma tu Mtani angefika. [emoji23] [emoji23] [emoji23].