SIMBA DAY 2018: Friendly match Simba vs Asante Kotoko.

yanga bwana wanashindia matikiti ndiyo waje wapambane na simba
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Niambie Mtani. [emoji2] [emoji2]
Khabari Mtani! Bogoshipo Mtani

Jana Nimekukumbukia Mule Kwa Mchina Sema Nikakosa Kifaa Tuuh! Sijuhi Ningemtuma Njiwa
 
Khabari Mtani! Bogoshipo Mtani

Jana Nimekukumbukia Mule Kwa Mchina Sema Nikakosa Kifaa Tuuh! Sijuhi Ningemtuma Njiwa
Namshukuru Allah uzima upo Mtani.

Kama mie nilivyokukumbuka wakati mmeanza kufungwa goli nikajisemea sijui mtani wangu Aminas ana hali gani huko aliko. Ungemtuma tu Mtani angefika. [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…