Hahahahaha! Dah Ilo la Goli Cha Mtoto, Shuhuri Ilonipata Jana Ni Hatari.Namshukuru Allah uzima upo Mtani.
Kama mie nilivyokukumbuka wakati mmeanza kufungwa goli nikajisemea sijui mtani wangu Aminas ana hali gani huko aliko. Ungemtuma tu Mtani angefika. [emoji23] [emoji23] [emoji23].
vile vibabu kikosi cha tatu watanzania sisi wambea kama wachawi.Acha umbea leta list A and B
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka uhame timu rafiki.
Bakuli linabei gani saivi*"Licha ya uchovu wa safari,Tuliambiwa na kocha tucheze chini ya Kiwango kipindi cha Pili tusiwaharibie wenzetu siku Yao. Tumeshangaa sana tulipoambiwa et hii timu ilikuwa kambi Uturuki tulikuwa tunacheka tu kwenye vyumba wakati wa mapumziko. Ila tunaona wanajitahidi sana kwa kupromote timu yao sijui ni kwanini au wana muda mrefu bila mafanikio kwa sababu umati wa watu na jinsi timu ilivyo cheza vitu viwili tofauti Obed Owusu" (Asante Kotoko)*
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Pole sana Mtani.Hahahahaha! Dah Ilo la Goli Cha Mtoto, Shuhuri Ilonipata Jana Ni Hatari.
Hahaha! Haya Mtani Usijali Ila Pia Unisamehe Bure Tuuh Maana, Hii Nayo Shida.[emoji2] [emoji2] [emoji2] Pole sana Mtani.
Ila ndio tutafutanage banaaa. [emoji12] [emoji12] maana huwa unapiga kimya si cha nchi hii.
Hahaha! Haya Mtani Usijali Ila Pia Unisamehe Bure Tuuh Maana, Hii Nayo Shida.
Abee Kaka ake Hajar.
oooohAbee Kaka ake Hajar.
Niambie kaka. Na weye unashabikia Mikia? [emoji12]ooooh
hahahaha kausha basi, ikinichanja inatokea damuNiambie kaka. Na weye unashabikia Mikia? [emoji12]
*"Licha ya uchovu wa safari,Tuliambiwa na kocha tucheze chini ya Kiwango kipindi cha Pili tusiwaharibie wenzetu siku Yao. Tumeshangaa sana tulipoambiwa et hii timu ilikuwa kambi Uturuki tulikuwa tunacheka tu kwenye vyumba wakati wa mapumziko. Ila tunaona wanajitahidi sana kwa kupromote timu yao sijui ni kwanini au wana muda mrefu bila mafanikio kwa sababu umati wa watu na jinsi timu ilivyo cheza vitu viwili tofauti Obed Owusu" (Asante Kotoko)*
Hmmmm! Yamesemwa Lini Haya?*"Licha ya uchovu wa safari,Tuliambiwa na kocha tucheze chini ya Kiwango kipindi cha Pili tusiwaharibie wenzetu siku Yao. Tumeshangaa sana tulipoambiwa et hii timu ilikuwa kambi Uturuki tulikuwa tunacheka tu kwenye vyumba wakati wa mapumziko. Ila tunaona wanajitahidi sana kwa kupromote timu yao sijui ni kwanini au wana muda mrefu bila mafanikio kwa sababu umati wa watu na jinsi timu ilivyo cheza vitu viwili tofauti Obed Owusu" (Asante Kotoko)*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.hahahaha kausha basi, ikinichanja inatokea damu