Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mungu dua yangu imesikikaA Kotoko 1-0 Mikia FC
Simba kaliwa mzigoMatokeo vipi wadau?
Kimoja cha nguruwe
Kila la heri Asante Kotoko
Changanya vipande vya Chupa na maji ya betri unyweAsante Mungu dua yangu imesikika
Kazingua sanaSalamba kaonyesha immaturity ya hali ya juu. Inatakiwa akalishwe chini na kufundwa. Sidhani kama yeye ndiye mpigaji wa penati Simba, ndio kwanza anaanza msimu wake wa kwanza. Yaani suala la yeye kichezewa rafu na kusababisha penati, cha kwanza alichofanya ni kuuchukua mpira na kuung'amg'ania.
1-1 Emanuel Okwi akisawazishaNgapi ngapi mpk sasa ?
1-1Ngapi ngapi mpk sasa ?