Simba day bila Manara ni vuruvuru

Simba day bila Manara ni vuruvuru

Hata mo kaletwa na Simba mbona siku aliposema ajiuzilu mlijikojolea? Huna hoja hhapo kwa Manara.

Ona sasa wasemaji Leo wako kibaao kwa Haji mmoja TU.
Yanga Day ilikuwa na wasemaji wangapi?
 
Hata mo kaletwa na Simba mbona siku aliposema ajiuzilu mlijikojolea? Huna hoja hhapo kwa Manara.

Ona sasa wasemaji Leo wako kibaao kwa Haji mmoja TU.
Wivu tu umekujaa wapi simba imetangaza ina wasemaji watatu
 
Maandalizi na Rivers yakoje kiongozi?
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
 
Wenye timu yetu leo tuna raha mnooo

The club is always bigger than any individual
 
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
Sawa manara tumekuelewa
 
Kwani yanga baada ya kumleta manara wamekuwa wangapi?
Nyama ziko chini, tulia. Haji ni level nyingine, hayo majina ya msukule sijui nini yanaakisi revenge angalau kupunguza maumivu aliyowaachia. Siku Haji akitangaza kurudi Simba utashaangilia hadi ufe wewe
 
Simba hakuna wa kumpokea yule, kwa mkapa kumejaa subiri na uhuru ijae
 
Simba day imedoda pengo la Manara limeonekana
 
Wimbo wa taifa una verses 2, Simba wameimba verse moja, wakamatwe kwaakweli kwa hili.
 
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
Unateseka ukiwa wapi!?
 
We fuatilia kapumbu wa Nigeria anavyowapelekea moto.
Uko Nigeria unafuatilia mabingwa wa nchi?
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
 
Who the Fuc**k is Manara? Sijui mkoje nyie, kwa nini usimfate aliko?
 
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
Alisema kuwa Simba Day zote Yeye ndiyo huwa anajaza Uwanja tafadhali kama ameshamaliza Kukushughulikia vilivyo Kibaiolojia hapo Kitandani ulipo nae hebu tuulizie Kwake je, na Uwanja ulivyojaa Jana ( tarehe 19 Septemba, 2021 ) tena mapema tu Saa 4 Asubuhi ( kwa Ushahidi wa Picha ) nyingi za Mitandaoni ( hasa kwa Mtandao wa Shaffih Dauda aliujaza Yeye pia?
 
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
Kwani Manara si yupo Nigeria kuivusha Yanga hadi makundi ya CAF Champions League?
 
Back
Top Bottom