Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

That is better hahahaaaa
Mkuu sidanganyi ,Hawa majamaa washaanza kugombana ,ngoja zije droo ligi kuu na kufungwa hiyo vita manara hata kanyanga taifa watamwona mamluki,kwakweli manara huyupo smart ,angetulia ,Senzo aliondoka tena alikuwa CEO na mafaili aliiba ndo maana Utopolo hadi leo wanaamini watashinda case ya Morison sembuse manara hakuwa hata na mkataba?
 
Back
Top Bottom