Simba Day: Simba S.C 4 AFC Leopards 0

Simba Day: Simba S.C 4 AFC Leopards 0

Attachments

  • FB_IMG_1470715208174.jpg
    FB_IMG_1470715208174.jpg
    28.8 KB · Views: 36
Shukrani Mkuu.. Nadhani lile soka nililokua nalizungumzia humu Kila siku umelishuhudia.. Hata Yule mchezaji mwenye rekodi ya kina CR7, Messi na Suarez umemshuhudia pia. Na ligi ianze sasa.
Kila la kheri almuhimu usije ishia njiani kama msimu ulopita mpaka watu tukatia shaka labda mwenzetu umauti umemkuta maana ulikuwa upoteaji uliotukuka.
 
Sasa simba kucheza friends mechi na timu ya 11 au ya 9 kwenye ligi yao, hapo anajipima au danganya toto? Kumbuka kambi aliweka morogoro akawa anacheza na timu za daraja la ngap sijui.. Anyway it's matter of time
 
Niambie Medeama ni yangapi kwenye ligi ya Ghana?
 
Sasa simba kucheza friends mechi na timu ya 11 au ya 9 kwenye ligi yao, hapo anajipima au danganya toto? Kumbuka kambi aliweka morogoro akawa anacheza na timu za daraja la ngap sijui.. Anyway it's matter of time
Hujui hata maana ya mechi ya kirafiki...unakumbuka hata mrisho ngasa alishacheza na MANU..unakumbuka Tanzania tulishacheza na Brazil...
tunawasubiri kwenye ligi mtanyonya Maelezo vizuri ila tunawaombea msishushwe daraja tu kwa umbumbu wenu...
 
Kila mwanzo wa msimu mnaanzaga kuchonga, maji yakiwa shingoni mnasema wakimataifa tunawahujumu
 
Siyo mwaka huu...niambie mwaka gani Simba Day tulishinda? halafu mbeleni tukapoteana matatizo yetu tunayajua na tumeshapatia dawa omba Mungu usishushwe daraja ili Oct 1 tukutane tukuonyeshe soka...
 
Aisee mwenye ile picha Moo kapiga na makonda kwenye kochi naiomba tafadhali ,

Kumbe makonda ni mdau wa simba , hongera kuwa chama kubwa
 
Hujui hata maana ya mechi ya kirafiki...unakumbuka hata mrisho ngasa alishacheza na MANU..unakumbuka Tanzania tulishacheza na Brazil...
tunawasubiri kwenye ligi mtanyonya Maelezo vizuri ila tunawaombea msishushwe daraja tu kwa umbumbu wenu...
Heshima yako Mkuu.. Unamwaga facts sana.
Hawa Kandambili sijui kwanini wanakua wagumi kuelewa.. Tulipokua tunagawa dozi Moro.. Wakawa wa nadhani tunatania. Jana najua wao kwenda Taifa Stadium, kuishuhudia Taifa Kubwa ilikua ngumu sana.. Ndugu yetu Bakhresa akaona hapana.. Akaamua kuwaletea uhondo wote katika TV zao, bado hawaamini.. Sasa sijui tuwafanyaje? Hebu ngoja ligi ianze kama wanavyodai.. Pale tutakapoanza kugawa dozi kwa mmoja baada ya mwingine, nadhani ndo watapata akili.
 
wamepanic ndiyo maana wanakodisha timu yao kama gauni la harusi...ila taratibu watatuelewatu...
 
Rudi kwa nguvu zote mwaka wa Neema huu sioni beki ya kuzuia washambuliaji wetu kirahisi, wings zote sasa zinakimbiza katikati wembe kudadadeki wataisoma...
Kweli mkuu!!?
Maana simba na Man U zilinifanya nikonde
Lakini naona simba itairudisha Amani ktk mtima
 
AFC Leopards sio ya kubezwa kihivyo, ilikuwa ktk nafasi za juu kwenye msimamo wa Ligi ya Kenya,lakini ikapokwa pointi 3 pamoja na watani zao wa jadi Gor Mahia kutokana na fujo za mashabiki wao ktk mechi dhidi ya Tusker na Ulinzi stars mtawalia. Uamuzi wa kuipoka pointi 3 uliishusha Leopards kwa nafasi sita chini.
 
Back
Top Bottom