Simba Day: Simba S.C 4 AFC Leopards 0

Simba Day: Simba S.C 4 AFC Leopards 0

AFC Leopards sio ya kubezwa kihivyo, ilikuwa ktk nafasi za juu kwenye msimamo wa Ligi ya Kenya,lakini ikapokwa pointi 3 pamoja na watani zao wa jadi Gor Mahia kutokana na fujo za mashabiki wao ktk mechi dhidi ya Tusker na Ulinzi stars mtawalia. Uamuzi wa kuipoka pointi 3 uliishusha Leopards kwa nafasi sita chini.
Asante sana Mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa.

Nakala: Makoye Matale na ndugu yake Mtoto wa nzi
 
Mkuu si umetushauri tucheze na Manyema? Sasa hizo timu za Morogoro zina tofauti gani na Manyema?
Labda tu nukuibie siri.. Simba hii ya sasa ni KAZI KAZI.. hatuwezi kuridhika na hivi vimatokeo.. Tutapumzika mwakani baada ya kubeba "ndoo" zetu 3.. Ndoo zipo hizo? Tukutane hapa mwakani.
Labda ndooya ndondo cup, hiyo mtapata aana wachezajiwenu wamemiss kombe hadi wanaamua kucheza ndondo cup ili wainue kwapa, teh teh teh teh teh,
Kwa insi nilivowacheki jana bado saaana
 
Labda ndooya ndondo cup, hiyo mtapata aana wachezajiwenu wamemiss kombe hadi wanaamua kucheza ndondo cup ili wainue kwapa, teh teh teh teh teh,
Kwa insi nilivowacheki jana bado saaana
Sawa Mkuu.
 
Back
Top Bottom