Asante kwa kumbukumbu mkuu, hivi afc Leopard kwenye ligi yao wapo nafasi ya ngap vilee??
Ya ngapi etiAcha uongo!? ni ya 9 na imepitwa pointi 11 na anayeongoza ligi...
Kila la kheri almuhimu usije ishia njiani kama msimu ulopita mpaka watu tukatia shaka labda mwenzetu umauti umemkuta maana ulikuwa upoteaji uliotukuka.Shukrani Mkuu.. Nadhani lile soka nililokua nalizungumzia humu Kila siku umelishuhudia.. Hata Yule mchezaji mwenye rekodi ya kina CR7, Messi na Suarez umemshuhudia pia. Na ligi ianze sasa.
ni ya 9 michezo 21 pointi 28 anayeongoza ana 40Ya ngapi eti
Niambie Medeama ni yangapi kwenye ligi ya Ghana?Sasa simba kucheza friends mechi na timu ya 11 au ya 9 kwenye ligi yao, hapo anajipima au danganya toto? Kumbuka kambi aliweka morogoro akawa anacheza na timu za daraja la ngap sijui.. Anyway it's matter of time
Hujui hata maana ya mechi ya kirafiki...unakumbuka hata mrisho ngasa alishacheza na MANU..unakumbuka Tanzania tulishacheza na Brazil...Sasa simba kucheza friends mechi na timu ya 11 au ya 9 kwenye ligi yao, hapo anajipima au danganya toto? Kumbuka kambi aliweka morogoro akawa anacheza na timu za daraja la ngap sijui.. Anyway it's matter of time
Kila mwanzo wa msimu mnaanzaga kuchonga, maji yakiwa shingoni mnasema wakimataifa tunawahujumuHujui hata maana ya mechi ya kirafiki...unakumbuka hata mrisho ngasa alishacheza na MANU..unakumbuka Tanzania tulishacheza na Brazil...
tunawasubiri kwenye ligi mtanyonya Maelezo vizuri ila tunawaombea msishushwe daraja tu kwa umbumbu wenu...
Siyo mwaka huu...niambie mwaka gani Simba Day tulishinda? halafu mbeleni tukapoteana matatizo yetu tunayajua na tumeshapatia dawa omba Mungu usishushwe daraja ili Oct 1 tukutane tukuonyeshe soka...Kila mwanzo wa msimu mnaanzaga kuchonga, maji yakiwa shingoni mnasema wakimataifa tunawahujumu
Rudi kwa nguvu zote mwaka wa Neema huu sioni beki ya kuzuia washambuliaji wetu kirahisi, wings zote sasa zinakimbiza katikati wembe kudadadeki wataisoma...Hahaha Naanza kurudi Taifa sasa
Heshima yako Mkuu.. Unamwaga facts sana.Hujui hata maana ya mechi ya kirafiki...unakumbuka hata mrisho ngasa alishacheza na MANU..unakumbuka Tanzania tulishacheza na Brazil...
tunawasubiri kwenye ligi mtanyonya Maelezo vizuri ila tunawaombea msishushwe daraja tu kwa umbumbu wenu...
wamepanic ndiyo maana wanakodisha timu yao kama gauni la harusi...ila taratibu watatuelewatu...Heshima yako Mkuu.. Unamwaga facts sana.
Hawa Kandambili sijui kwanini wanakua wagumi kuelewa.. Tulipokua tunagawa dozi Moro.. Wakawa wa nadhani tunatania. Jana najua wao kwenda Taifa Stadium, kuishuhudia Taifa Kubwa ilikua ngumu sana.. Ndugu yetu Bakhresa akaona hapana.. Akaamua kuwaletea uhondo wote katika TV zao, bado hawaamini.. Sasa sijui tuwafanyaje? Hebu ngoja ligi ianze kama wanavyodai.. Pale tutakapoanza kugawa dozi kwa mmoja baada ya mwingine, nadhani ndo watapata akili.
Kweli mkuu!!?Rudi kwa nguvu zote mwaka wa Neema huu sioni beki ya kuzuia washambuliaji wetu kirahisi, wings zote sasa zinakimbiza katikati wembe kudadadeki wataisoma...