AFC Leopards sio ya kubezwa kihivyo, ilikuwa ktk nafasi za juu kwenye msimamo wa Ligi ya Kenya,lakini ikapokwa pointi 3 pamoja na watani zao wa jadi Gor Mahia kutokana na fujo za mashabiki wao ktk mechi dhidi ya Tusker na Ulinzi stars mtawalia. Uamuzi wa kuipoka pointi 3 uliishusha Leopards kwa nafasi sita chini.