Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

unahangaika wiki nzima.mwisho unakuja kutoa suluhu.tena wewe ndo umechomoa[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Hahaha sio kwa kuteseka uku;
ama kweli sindano ya Jana iliwachoma kweli kweli.

Hii ni dynamo ni timu kubwa na ina mafanikio kuliko hata simba na yanga.

Imeshawahi baba kombe la club bingwa Africa la CUF.

Imeshafika robo fainali Mara 6 katika michuano ya Club bingwa Africa.

Ni team ya tatu kwa vikombe nchini Zambia baada ya zesco na nkana.

NB: kariobangi hana historia yeyote zaidi ya kubeba sports pesa cub;
Sasa Mtani hayo yote wameyafanya mwaka gani hebu nipatie details kidogo angalau nipate kukuelewa.

Au nipe link nikayaone yote hayo.
 
Nyie mliopigwa ndani nje na Lipuli,ilikuwa ya ngapi? Gugo pia na Kariobang ilikuwa ya ngapi.nasubiri jibu mtani
😀😀😀 naona unaruka viunzi Mtani.

Nyie Mtani ambao mnajiona mko juu kuliko juu yenyewe ndio mlipaswa mcheze na wa juu wenzenu sio mnacheza na timu iliyomaliza msimu ikiwa nafasi ya ngapi sijui huko halafu mnatamba mmeifunga tatu. Aiseee.
 
Back
Top Bottom