ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Hahaaa mutu ya congo, hapa nimeamini kamati ya usajili Yanga ni vipofuAsante mkuu
Hizi friend mechi hapo zenj MOLINGA acheze dkk 90 zote kabisa ... sio kwa Matako yale.
Maandalizi mema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa mutu ya congo, hapa nimeamini kamati ya usajili Yanga ni vipofuAsante mkuu
Hizi friend mechi hapo zenj MOLINGA acheze dkk 90 zote kabisa ... sio kwa Matako yale.
Maandalizi mema
hahaha ole wako usije ukaivaaFanya kunitumia jezi
Jezi ya yanga naachaje kuvaa babakehahaha ole wako usije ukaivaa
Tatizo hapa kila mmoja avutie upande wake Mtani. Sababu kama mie naona letu lilifana sana tu.
😀😀😀 huku huku kwa Wananchi ndio kunanifaa Pacha.Ndio naona hii pacha
Nadhani umeona mwenyewe,sina mengi 😂😂😂
Bado nakusubiri uhamie nyumbani 😅