Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

unahangaika wiki nzima.mwisho unakuja kutoa suluhu.tena wewe ndo umechomoa[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Sasa Mtani hayo yote wameyafanya mwaka gani hebu nipatie details kidogo angalau nipate kukuelewa.

Au nipe link nikayaone yote hayo.
 
Sema vyote Mtani.

Saa umerudi nayo mana jana nasikia mashabiki mliowazoa zoa mtaani walikuwa wanawakwapua tu tena mule mule ndani ya kiwanja.
Tamasha letu lilifana na lilikuwa kubwa sana kuliko lenu kubali mtani asiyekubali kushindwa si mshindani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usimsahau Vieira nimekuchukulia namba
 
Nyie mliopigwa ndani nje na Lipuli,ilikuwa ya ngapi? Gugo pia na Kariobang ilikuwa ya ngapi.nasubiri jibu mtani
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ naona unaruka viunzi Mtani.

Nyie Mtani ambao mnajiona mko juu kuliko juu yenyewe ndio mlipaswa mcheze na wa juu wenzenu sio mnacheza na timu iliyomaliza msimu ikiwa nafasi ya ngapi sijui huko halafu mnatamba mmeifunga tatu. Aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…