Hahaaa mutu ya congo, hapa nimeamini kamati ya usajili Yanga ni vipofuAsante mkuu
Hizi friend mechi hapo zenj MOLINGA acheze dkk 90 zote kabisa ... sio kwa Matako yale.
Maandalizi mema
hahaha ole wako usije ukaivaaFanya kunitumia jezi
Jezi ya yanga naachaje kuvaa babakehahaha ole wako usije ukaivaa
Tatizo hapa kila mmoja avutie upande wake Mtani. Sababu kama mie naona letu lilifana sana tu.
πππ huku huku kwa Wananchi ndio kunanifaa Pacha.Ndio naona hii pacha
Nadhani umeona mwenyewe,sina mengi πππ
Bado nakusubiri uhamie nyumbani π