Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ouwkey. Nipo kusubiria updates. 😜😜Tutaujaza mtaan usiwe na hofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ouwkey. Nipo kusubiria updates. 😜😜Tutaujaza mtaan usiwe na hofu
Umepita Taifa kutokea wapi na kwenda wapi mkuu mana wamefunga njia toka saa tano.Mikia bana...nimepita taifa hapo ni peupee
.Umepita Taifa kutokea wapi na kwenda wapi mkuu mana wamefunga njia toka saa tano.
Photoshop adobe hahahaha, yanga ndiyo mpango mzima, utashabikiaje kitu rangi nyekundu?
Walitegemea mhindi aseme hakuna kiingilio 😀 😀 😀Yanakuja saa ngapi. Nyie ndio mlikuwa mnawaka oooh. eti uwanja tuliujaza jioni.
Haya nyie mnaojaza asubuhi picha ziko wapi? Tupieni picha tuone mana yaenda saa saba.
Una roho mbaya ujue mim ni simba sijag kuzoza kitaa hiki naogopa tutakorofishana ndo maan mekuacha pekeeHahaaaa. Wataka nikapigwe mdogo wangu mana ikitokea wamefungwa nadhani Uwanja mzima mi ndio ntasimama kushangilia goli la wapinzani. 😀😀😀😀
Hahahaaa. Mwaka huu imekula kwao.Walitegemea mhindi aseme hakuna kiingilio 😀 😀 😀
😀😀😀 nmecheka. Hahahahaaa. LolUna roho mbaya ujue mim ni simba sijag kuzoza kitaa hiki naogopa tutakorofishana ndo maan mekuacha pekee
Acha kukaa nyuma ya keyboard nenda kajaze UwanjaKila laheri mnyama!
Joseverest ni lini utaacha uchawi??KILA LA HERI POWER DYNAMOS FC
Kwa taarifa yako wenye nchi ni wanainch wenyewenchi
Naona umekuja kuungana Na mambumbumbu wenzakoEndelea kuwajaza upepo mambumbumbu wenzio kwa picha za mwaka jana