Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Safi! Umefunguka ukweli Mtani. 👏👏👏👏👏Leo ni siku ya kazi,uwanja hauwezi kujaa Mimi ni Simba damu lakini nilichogundua leo ukitaka kujua watu wasiokuwa na kazi au ajira Tanzania nenda uwanja wa Taifa.
Na asilimia kubwa ya umri wa watu ambao wako taifa sasa ni moja.