Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Leo ni siku ya kazi,uwanja hauwezi kujaa Mimi ni Simba damu lakini nilichogundua leo ukitaka kujua watu wasiokuwa na kazi au ajira Tanzania nenda uwanja wa Taifa.
Hahahaaa. Safi! Umefunguka ukweli Mtani. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Na asilimia kubwa ya umri wa watu ambao wako taifa sasa ni moja.
 
Usishangae leo Pikipiki fc wakatoa Makafara yao
 
Hahahaaa. Safi! Umefunguka ukweli Mtani. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Na asilimia kubwa ya umri wa watu ambao wako taifa sasa ni moja.
Ile siku ya Yanga umri ulikuwa tofauti Mtani?
 
Halafu uwanja ukishona nyekundu na nyeupe huwa unapendeza sana na kuonekana tofauti lakini ukishona mboga mboga na maua ya njano unakuwa kama jalala vile
Kuna kaukweli fulani kwenye maneno yako mkuu.
 
Mashabiki wengi wa Simba ni Walinzi, Wazee wa night kali ,Vibaka wa ubungo Terminal,Wazururaji kwa utafiti wangu nilioufanya leo huo ndio ukweli japokuwa mimi ni Simba lakini ukweli usemwe
Mshaanz kuumwa Na tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…