pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Mbona sioni jezi mpya zimevaliwa? Au tumekuwa bakhiri sana kununua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Ohoooo !!
Mjumbe hauawiHizi sasa dharau...!!
Hahahahahahahahah HUAMINI UNACHOKIONA HahahahahahahahahLengo waifunike siku ya wananchi. Kimbembe saa ya kutoka wataibiana hao. Mana wengi ni vibaka.
Anakula kande kavimbiwa!Akiingia mzee kilomoni mnistue,
.Ohoooo !!
Hahahahahahahahah
MO bado ana hangover ya kutekwa,Sasa Magufuri hoyee ya nini?View attachment 1173544
View attachment 1173553
View attachment 1173554
View attachment 1173557
Mabingwa wa watarajiwa wa CAF Championship leo wanahitimisha Simba Day,This is Next Level.
Shamrashamra zimeendelea mitaa yote ya Dar na mikoani kuelekea jioni ya leo kushuhudia kandanda saaafi.
Jiunge nasi hapa JF kupata updates za mchakato mzima wa Simba Day,This is Next Level
HatariLOL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1173599
Hata mie nimeshangaa.... Naona pia Mo akiacha Simba, Manara naye atasepa...he is after himMO bado ana hangover ya kutekwa,Sasa Magufuri hoyee ya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakula kande kavimbiwa!
Tulia wenye nchi wafanye yaoLengo waifunike siku ya wananchi. Kimbembe saa ya kutoka wataibiana hao. Mana wengi ni vibaka.
Nyongo inakutoka mkuualoo watu wanasombwa kwa malori toka matawini, wanapewa tiketi buree, kweli mikia fc ni shidaa
Haya bwana.Juzi mlijitahidi nanyie kufikia robo yetu, endeleeni kuiga mtafanikiwa kujaza siku moja