Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Wachezaj wapya lakini washazoeana aiseeh, Kanda nimeona ule moto, shiboub habari nyingine pale kati, kahata dahhhh anakiwasha sana pale kati,,, yule beki mbrazil ni shidah,,

Hakika Simba is nexty level

Simba imesheheni vipaji,,,
 
Hivi ile timu iliyovaa jezi nyekundu pale Taifa ndio Simba? mmhh mbona inataka kuleta mabalaa hapa nchini kwetu .
Shadeeya toka huko uvunguni ulipojificha Kimbunga Kagere tayari kimeshapita na kimefanya uharibifu kwa Power dynamos.
NB:kitarudi tena siku zijazo kuwa makini
 
Back
Top Bottom