Simba Day yaingia doa yakubali kichapo | Simba SC 0-1 Kenya Police | Mechi ya kirafiki | Uhuru | Agosti 8, 2026

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Klabu ya Simba SC imekubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kenya Police FC ya nchini Kenya katika mchezo wa Simba Day uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru.

Matokeo hayo yamekuja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Simba Day, huku Kenya Police ikiibuka na ushindi muhimu mbele ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kushuhudia mchezo huo.

​

Leo Mnyama Simba SC anafanya tamasha lake Simba Day ambapo utafanyika utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2026/2027

Utambulisho huu utahitimishwa kwa mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu ya Kenya Police.
===============

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…