Simba Day yaingia doa yakubali kichapo | Simba SC 0-1 Kenya Police | Mechi ya kirafiki | Uhuru | Agosti 8, 2026

Simba Day yaingia doa yakubali kichapo | Simba SC 0-1 Kenya Police | Mechi ya kirafiki | Uhuru | Agosti 8, 2026

Viongozi wa Simba watakuwa na tatizo la afya ya akili. Haiwezekani misimu hii miwili wamekosa ubingwa kwa sababu ya kukosa striker. Badala ya kusajili mtu wa maana anayejitetea mwenyewe uwanjani, wanaleta mtu anaruka ruka tu mle
 
Ni kweli mkuu. Nahisi kuna kiongozi/viongozi ambao wana maamuzi makubwa kwenye usajili wa Simba lakini haujui/hawaujui mpira kabisa japo wana mapenzi makubwa na mpira. Wakati ligi inaisha Simba ilikuwa na mapungufu makubwa mawili golikipa na mshambuliaji wa kati na kidogo kiungo mkabaji wa chini. Usajili uliofanyika so far haujatibu hayo matatizo mawili makubwa na hasa la mshambuliaji wa kati. Kidogo naona walau kiungo cha chini kama kuna mwanga kidogo lakini baada ya mechi tano hivi ndio itajulikana hasa kama tatizo limetibika.

Ushauri wa bure kabisa kwa Simba. Dirisha halijafungwa pale Coastal kuna mtu anaitwa Maabad Maabad na pale Dodoma Jiji kuna mtu anaitwa Edgar William hebu chukueni mmoja kati ya hao wawili atawasaidia pale kwa mshambuliaji wa kati walau kidogo kuliko hali ilivyo sasa.

Ni mtizamo tu.
 
Viongozi wa Simba watakuwa na tatizo la afya ya akili. Haiwezekani misimu hii miwili wamekosa ubingwa kwa sababu ya kukosa striker. Badala ya kusajili mtu wa maana anayejitetea mwenyewe uwanjani, wanaleta mtu anaruka ruka tu mle
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huna kikosi wewe, kile ni kikundi cha wahuni tu.
We unajua hata market za wachezaji kweli au ukisikia kikosi cha billion 14 unadhani uongo?

Kilicho nifanya nikimbie simba ni hao kina magungu na MO wanakula pesa zenu
 
Back
Top Bottom