Yakubali kichapoHahaha...
Eti siku imeingia doa..
Atalala na viatuduh Mo leo siku imekuwa sio siku
Kwahy mashabiki kukata tamaa ndio imesababisha simba kufungwa?Ni kama mashabiki wamekata tamaa baada ya kumkosa Fei Toto kwenye utambulisho. Namba 6 aliyewekwa na mwekezaji kumbe ni Yusuph Kagoma.
Wamebadili tenaYakubali kichapo
Sihami kamwee.Nakupa ushauri wa bure hama mapema
Wamecheza karibu wote kama inavyokuwaga kwenye Simba day.Tusaidieni basi hata kikosi na sub zilivyokuwa. Maana wengine tumeshindwa kuangalia mpira kutokana na sababu mbali mbali hivyo tunaomba hata taarifa za lineup na sub tu.
Kinyooonge!Tumefungwa
Ssc 0 - 1 Polisi
Rupia.
Kwahiyo mtu haruhusiwi kusema ukweli?🤣🤣🤣Mod aliyeedit kichwa cha uzi ni mwanayanga.
Angekua ni Simba angepunguza ukali wa maneno angemung'unyaKwahiyo mtu haruhusiwi kusema ukweli?🤣🤣🤣
Haya hujayachoka mateso, imagine mechi ya kwanza kabisa unafungwaSihami kamwee.
Chamsingi tarehe 12 waende uwanjaniWakitoka hapa, na kwenda huko kambini wakaangalie upya wapi makosa yalipo. Na wafanyie marekebisho haraka iwezekanavyo.
Usiogope hata sisi Yanga tulifungwa ila tukawa mabingwaHaya hujayachoka mateso, imagine mechi ya kwanza kabisa unafungwa