Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ni kweli mkuu. Nahisi kuna kiongozi/viongozi ambao wana maamuzi makubwa kwenye usajili wa Simba lakini haujui/hawaujui mpira kabisa japo wana mapenzi makubwa na mpira. Wakati ligi inaisha Simba ilikuwa na mapungufu makubwa mawili golikipa na mshambuliaji wa kati na kidogo kiungo mkabaji wa chini. Usajili uliofanyika so far haujatibu hayo matatizo mawili makubwa na hasa la mshambuliaji wa kati. Kidogo naona walau kiungo cha chini kama kuna mwanga kidogo lakini baada ya mechi tano hivi ndio itajulikana hasa kama tatizo limetibika.Viongozi wa Simba watakuwa na tatizo la afya ya akili. Haiwezekani misimu hii miwili wamekosa ubingwa kwa sababu ya kukosa striker. Badala ya kusajili mtu wa maana anayejitetea mwenyewe uwanjani, wanaleta mtu anaruka ruka tu mle
Ile ni match ya kumalizia sherehe, wala sio ya umuhimu, ndio maana wachezaji walicheza kwa ku relax.Haya hujayachoka mateso, imagine mechi ya kwanza kabisa unafungwa
Kwanini wasiende? Uwanjani watu wanaenda km kawaa.Chamsingi tarehe 12 waende uwanjani
[emoji23][emoji23][emoji23]Viongozi wa Simba watakuwa na tatizo la afya ya akili. Haiwezekani misimu hii miwili wamekosa ubingwa kwa sababu ya kukosa striker. Badala ya kusajili mtu wa maana anayejitetea mwenyewe uwanjani, wanaleta mtu anaruka ruka tu mle
Sawa sawa wewe subiri tarehe 12 uendelee kuugulia maumivu yale yaleIle ni match ya kumalizia sherehe, wala sio ya umuhimu, ndio maana wachezaji walicheza kwa ku relax.
Umeona kikosi chako leo? [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa sawa wewe subiri tarehe 12 uendelee kuugulia maumivu yale yale
Daah mm mwenyewe nimeshanga kikosi cha billion 14 limekalisha chini na cha million Mia 5..Umeona kikosi chako leo? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huna kikosi wewe, kile ni kikundi cha wahuni tu.Daah mm mwenyewe nimeshanga kikosi cha billion 14 limekalisha chini na cha million Mia 5..
We unajua hata market za wachezaji kweli au ukisikia kikosi cha billion 14 unadhani uongo?[emoji23][emoji23][emoji23] huna kikosi wewe, kile ni kikundi cha wahuni tu.