SIMBA FC, Aibu mliyotupa leo mashabiki wenu bora hata kufungwa 10 na Al Ahly

SINA JAMBO

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
338
Reaction score
270
Miaka yote tumekua tukipeleka kikosi cha pili sportpesa lakini this time tumepeleka mashine zetu zote...inatokeaje tunafungwa na bandari tena kwa overcome


hivi mbna hii aibu kubwa kwa taifa yaani miaka 3 mfululizo tunakua wanyonge kwa wakenya...wanaionaje ligi yetu wanaionaje simba na kauli yetu inayosema tunawakilisha east na central Africa kwenye CAF



kiukweli leo nimeumia had kutamani kulia...kwel wakenya wanaondoa team za Tanzania kubwa zote




Sasa woote tuungane kuinga mkono mbao labda tutaiasemea nchi kupitia wao...bora tungeshinda wote Simba na Mbao af mbao achukue ubingwa kuliko hili..I, SINA JAMBO nawaomba mbao mtumie njia hata za uchawi mchukue hili kombe



LETS SUPPORT MBAO



I AM SINA JAMBO

=======

KIKOSI cha Bandari FC kutoka Kenya kimetinga hatua ya fainali baada ya kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Taifa leo.

Simba walikuwa wa kwanza kuandika bao kipindi cha kwanza dakika ya 45 kupitia kwa mshambuliaji Meddie Kagere ambalo lilidumu kwa muda wa mpaka dakika ya 59 ambapo Bandari walifunga bao kwa mkwaju wa Penalti lililofungwa na William Waydi.

Dakika ya 75 Bandari walifunga bao la pili kupitia kwa Wilberforce Lugogo baada ya kukutana na mpira uliotemwa na Manula na kuifanya Simba kuwa nyuma kwa bao 1.

Kwa matokeo hayo Simba wanaishia hatua ya nusu fainali watasubiri atakayefungwa katika mchezo wa Mbao na KK Sharks kucheza mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki uchwara mnapenda sana kulia lia team ikifungwa. Sijui mpira mmejifunzia wapi mafekero!

[emoji35][emoji35][emoji34]
Hii mitimu ya Tanzania tunashangilia basi tu. Wanaamini wao hawana haki ya kufungwa na timu ndogo. Sipati picha siku ambayo Simba au Yanga ikatandikwa goli hata 5 bila na timu kama Mwadui au Biashara.
 
Hii mitimu ya Tanzania tunashangilia basi tu. Wanaamini wao hawana haki ya kufungwa na timu ndogo. Sipati picha siku ambayo Simba au Yanga ikatandikwa goli hata 5 bila na timu kama Mwadui au Biashara.
mkuu bora hata Yanga angechukua sportpesa cup kuliko hawa wakenya kulichukua kwetu tena twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki uchwara mnapenda sana kulia lia team ikifungwa. Sijui mpira mmejifunzia wapi mafekero!

[emoji35][emoji35][emoji34]
Timu ya simba ni mbovu na underdog. Mapinduzi wamepigwa, Vita kawapa tano, leo Wakenya wametokea nyuma ya goli moja na kushinda mechi, msimu huu hata kombe la mbuzi hawachukui.

Bado mwarabu anawasubiri awafanyie kitu mbaya Maneno mengi tu mdomoni mpira hamuujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo naona mwandiko umenyooka kisa Simba kafungwa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mikia inazungusha tu mikia uwanjani.
Simba nguvu moja
Yes we can
Yes we can'tπŸ˜΅πŸ˜΅πŸ˜΅πŸ˜΅πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…