SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
Miaka yote tumekua tukipeleka kikosi cha pili sportpesa lakini this time tumepeleka mashine zetu zote...inatokeaje tunafungwa na bandari tena kwa overcome
hivi mbna hii aibu kubwa kwa taifa yaani miaka 3 mfululizo tunakua wanyonge kwa wakenya...wanaionaje ligi yetu wanaionaje simba na kauli yetu inayosema tunawakilisha east na central Africa kwenye CAF
kiukweli leo nimeumia had kutamani kulia...kwel wakenya wanaondoa team za Tanzania kubwa zote
Sasa woote tuungane kuinga mkono mbao labda tutaiasemea nchi kupitia wao...bora tungeshinda wote Simba na Mbao af mbao achukue ubingwa kuliko hili..I, SINA JAMBO nawaomba mbao mtumie njia hata za uchawi mchukue hili kombe
LETS SUPPORT MBAO
I AM SINA JAMBO
=======
KIKOSI cha Bandari FC kutoka Kenya kimetinga hatua ya fainali baada ya kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Taifa leo.
Simba walikuwa wa kwanza kuandika bao kipindi cha kwanza dakika ya 45 kupitia kwa mshambuliaji Meddie Kagere ambalo lilidumu kwa muda wa mpaka dakika ya 59 ambapo Bandari walifunga bao kwa mkwaju wa Penalti lililofungwa na William Waydi.
Dakika ya 75 Bandari walifunga bao la pili kupitia kwa Wilberforce Lugogo baada ya kukutana na mpira uliotemwa na Manula na kuifanya Simba kuwa nyuma kwa bao 1.
Kwa matokeo hayo Simba wanaishia hatua ya nusu fainali watasubiri atakayefungwa katika mchezo wa Mbao na KK Sharks kucheza mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu.
Sent using Jamii Forums mobile app