SIMBA FC, Aibu mliyotupa leo mashabiki wenu bora hata kufungwa 10 na Al Ahly

Tukumbuke Bandari pia ni stand ya majahazi na meli...... Kudadeki Masaarange...... Wazee wa Bandari mpo meli hiyooo Twanga Pepeta
 
Moja ya ligi mbovu duniani ni ya kwetu! Haishangazi kuwa na timu mbovu zenye kiwango kibovu! Hata hivyo nimefurahi sana mikia kufungwa mana huwa wanajipa sifa za kipuuzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha Masudi Juma hakuwa anafundisha kuremba mpira yeye ni magoli watazamaji weshaona chenga sana wanataka magoli mechi za makundi Simba haishindi hata mechi moja.na Ligi Simba atwai Ubingwa kwa uchezaji wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali umesikia tunataka kuchukua kombe? ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huzitaki mbichi hizo?

Huu mwaka mtauelewa tu.
1. Kombe la Maulidi lile mnaolipenda huko Zanzibar siku hizi Azam anawababua
2. Huku mlikoenda kwa bahati mbaya msimu huu AS Vita katumwa hela
3. Supoti Hela ndio hivyo tena, Wazee wa Bandari wamepiga honi ya Meli mwenye busha chali
4. Mkija kurudi nyumbani huku mnakuta mume kanuna anataka ndoo ya 29

Nafikiri umefika sasa wakati wa kujimix na Faru Jeuri kule kwa J. J Mwaka

Wazee wa Bandari, meli hiyoooooo 😀😀😀
 
Simba hii sio nzuri kama haji manara anavyowalisha matango pori.
 
Kwa maelezo zaidi anaitwa Patrick Aussems. Na nchi aliyotoka je?
 
Yule mpayukaji wake yuko wapi,eti mikia level yao ni man u,barca. Kufru kubwa,analinajisi soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…