Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji.
Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo.
Kwa mara kadhaa kocha anajaribu kumtumia Raly Bwalya lakini kiungo anafeli kufikia viwango na mategemeo ya kocha na mashabiki wanaomuangalia.
Njia nyepesi ya kufanya simba irudi kwenye ubora ni kwa namna gani inavyoweza kutumia viungo wake wazoefu na wenye misuri ya kutosha kwa maana hiyo formation ya 4:3:3 naona ni best kufanya timu icheze ki ushindani huku ikilazimisha nafasi za kutengeneza magoli mengi.
Kwa maana hiyo namuona Kiungo KANUTE anauwezo wa kuyavaa majukumu ya chama pale mbele. Kitakachofanyika ni Kanute kubadilishwa kutoka namba 8 anayocheza apelekwe kiungo namba 10 acheze free role kwa ajili ya kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji waliopo. Kanute analiweza jukumu hilo vizuri sana.
Kinachotakiwa ni simba kutengeneZwa kuwa timu imara na wachezaji wenye nguvu na akili sana.
Sasa kwa formation ya 4:3:3 napendekeza hii squad kuanza.
1. Manura/kasubi
2. Israel Mwenda/Kapombe
3. Mo. Hussein
4. Babu Achieng/ Kenned W
5. Inonga/ Wawa
6. Mukude/ D. Nyoni/ E nyoni
7. B. Morrison/ Banda/Mhiru
8. T. Lwanga/ Mzamiru
9. Boco/Kagere/ Mugaru
10. Kanute/ Kibu Denis
11. Bwalya/ P Sako/Dirunga
Kikosi kitakochokuwa kikianza ni majina yaliyoanza kila kwenye namba.