SIMBA; Formation na wachezaji wanaoweza kurudisha Mpira Biriani

Hii timu aliasisi djuma

Djuma alikuja na formation hiyo ambayo viungo hao 2 waliielewa vzr na wakaka nayo

Mkitaka timu irudi ktk ubora ule mwiteni tena djuma airudishe kule

Lasivyo hamna na sijui kama mtapata kocha kama yule
Acha kutudanganya wewe....
Simba ya Masoud Djuma ilikuwa inacheza 3-5-2.
 
Mechi ya juzi ya wapi hiyo......
Lwanga aliyokaa benchi....
 
Hata huyo kanoute atakushangaa namba unayomwambia akacheze.....
Role ya chama unampaje kanoute?
Anapocheza hapo hapo panamfaaa.
 
Kakolanya mmesha mfanya ndind8cha la timu?
 
Kulirudisha biriani Bwalya acheze kiungo ya chini pamoja na Lwanga. Viungo washambuliaji weka Sakho, Banda na Nyoni halafu striker Mugalu.

Mugalu ana mapungufu yake lakini ndio striker mwenye uwezo pekee wa kukaa na mipira na ku link na wachezaji wenzake. Kitu ambacho Bocco na Kagere hawana.

Beki weka Inonga na Keneddy, naamini Wawa wakati wake unafikia tamati

Manula
Kapombe Keneddy Inonga Zimbwe
Lwanga Bwalya
Banda Sakho Nyoni
Mugalu
 
Binafsi ningependa kuona tukijaribu 433 na Lwanga akiwa kama kiungo wa chini huku Kanoute na Bwalya wakicheza kulia na kushoto kwake.

Manula

Kapombe Kennedy Inonga Zimbwe
Bwalya Lwanga Kanoute
Sakho Mugalu Banda
 
Mechi ya juzi ya wapi hiyo......
Lwanga aliyokaa benchi....
Soma vizuri, nimesema kabla ya Mechi ya Rwanda vs Uganda. Mechi ya Kenya vs Uganda, Aucho alianzishwa na Lwanga hakuwepo hata sub Mechi ya Uganda vs Mali, Aucho alianza na Lwanga hakuwepo hata sub, Mechi ya Rwanda vs Uganda, Wote wawili walichezeshwa na Aucho alikuwa team captain wa Uganda. Mechi ya Uganda vs Rwanda, alianzishwa Lwanga na Aucho hakuwepo hata sub. Point yangu ilikuwa kwamba kutokuanzishwa kwa mchezaji inategemea na game approach ya mwalimu na pia inategemea na utimamu wa mwili kwa mchezaji husika na sio kwasababu ya fulani ni zaidi ya fulani. Aucho mpaka anapewa team captain maanake kaaminika kocha.
 
Ulitaka lwanga acheze na yupo Injury.....?
Ukiwa bora mwalimu hata kuacha, atakutengenezea mbinu za kukuaccomodate.
Huo ucaptain ni sawa na ule anaovaaga Gadiel michael....( Endapo kwenye kikosi captain hayupo).
Aucho ni Mzuri kweli kweli ila Overrated.
 
Panga kikosi chako vyovyote mkuu.....
Ila wawa muweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…