Simba fukuza kocha haraka sana

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Ndugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa simba umfukuze huyu kocha na mlete kocha wakufundisha mpira wa kuvutia. Kushinda mechi ni poa lakini kama chama kubwa tunataka kandanda la kulemba na kuvutia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Ndiyo, kandanda la kuvutia tuliliona jana Mbeya na mkapata point zenu za kutosha -3
 
toka nijiunge humu leo ndio nimedhibitisha kuwa member wengine ni NYUMBU kabsa
 
1 ya 4 wewe
 
timu gani tz inacheza mpira wa kuvutia ? labda tuanzie hapo
 
Inunune simba ulete na kocha wako mwenye mchezo wa kuvutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…