Ndugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa simba umfukuze huyu kocha na mlete kocha wakufundisha mpira wa kuvutia. Kushinda mechi ni poa lakini kama chama kubwa tunataka kandanda la kulemba na kuvutia.