Simba gomeni kuvaa nembo yenye chapa ya GSM

Simba gomeni kuvaa nembo yenye chapa ya GSM

GSM is a group of companies.

Kampuni ambayo wanaoidhamini Yanga na kutengeneza jezi na kampuni ambayo itadhamini leagueya NBC ni kampuni mbili tofauti.
Ila logo ni moja
 
Kila mara kuna vitu ukifanya kwa hila ama kudhulumu utakuja kulipa kwa aina moja ama nyingine. Watanzania hasa wapenzi wa soka hawana imani na uendeshaji wa chombo chetu kinachosimamia mpira wa miguu TFF chini ya Karia. Kitendo cha kuingia udhamini na GSM ni kosa na hakikubaliki.

Kama wanataka kweli maemdeleo ya soka GSM angepewa ligi daraja la kwanza na sio PL. Simba gomeeni kabisa kuweka nembo ya chapa GSM kwenye jezi zenu. Halafu tuone wawashushe daraja. Karia na udhalimu wake naona anafika mwisho.
hata hujasema ni kwasababu gani, nyie ndo mnaorudisha maendeleo ya soka nyuma kwasababu za kijinga za usimba uyanga[emoji3525]
 
Kolo mwenye hapo alipo kule caf ni viti maalum,na mpambane kweli huko caf ili mpate nafasi ya kwenda caf next season maana msimu huu amuambuli kitu ligi kuu TZ
Ubingwa wa ligi kuu ni mali ya Simba,ilo swala mpaka UN wanalijua.
 
Back
Top Bottom