Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila logo ni mojaGSM is a group of companies.
Kampuni ambayo wanaoidhamini Yanga na kutengeneza jezi na kampuni ambayo itadhamini leagueya NBC ni kampuni mbili tofauti.
hata hujasema ni kwasababu gani, nyie ndo mnaorudisha maendeleo ya soka nyuma kwasababu za kijinga za usimba uyanga[emoji3525]Kila mara kuna vitu ukifanya kwa hila ama kudhulumu utakuja kulipa kwa aina moja ama nyingine. Watanzania hasa wapenzi wa soka hawana imani na uendeshaji wa chombo chetu kinachosimamia mpira wa miguu TFF chini ya Karia. Kitendo cha kuingia udhamini na GSM ni kosa na hakikubaliki.
Kama wanataka kweli maemdeleo ya soka GSM angepewa ligi daraja la kwanza na sio PL. Simba gomeeni kabisa kuweka nembo ya chapa GSM kwenye jezi zenu. Halafu tuone wawashushe daraja. Karia na udhalimu wake naona anafika mwisho.
Sio kwa ubaya ila nina wasiwasi na elimu yako.Kwani GSM ndio wanaochezesha mpira uwanjani (marefa) maana tunajua matokeo ni uwanjani acheni porojo
Ubingwa wa ligi kuu ni mali ya Simba,ilo swala mpaka UN wanalijua.Kolo mwenye hapo alipo kule caf ni viti maalum,na mpambane kweli huko caf ili mpate nafasi ya kwenda caf next season maana msimu huu amuambuli kitu ligi kuu TZ
Jumamosi tunacheza wala hatuhofii kitu na tutawamanueni vizuri tu usihamishe magoli .simba wamekimbia kipigo hevi cha Yanga kwa kisingizio cha GSM