mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Nataka tuwape Yanga heshima yakeKwa Ivo unataka je? Hamia congo Lubumbashi
Aisee mwarabu baada ya kuwafirimba bao 3 ndio mmeamua kumweka kwenye avatar kabisaa [emoji1787][emoji1787] kweli bao 3 za mwarabu sio mchezoSimba haijawahi kutana na tp mazembe mbovu inayoshiriki kombe la maluza
Unachunguza avatar za wanaume? Unashida pahala weweAisee mwarabu baada ya kuwafirimba bao 3 ndio mmeamua kumweka kwenye avatar kabisaa [emoji1787][emoji1787] kweli bao 3 za mwarabu sio mchezo
Yaani heshima kwa TP Mazembe iliyotolewa Champions League na Vipers? πNataka tuwape Yanga heshima yake
Pia ni tp mazembe ilofika nusu fainali shirikisho msimu ulopita ambapo wewe ulishindwaYaani heshima kwa TP Mazembe iliyotolewa Champions League na Vipers? π
Shirikisho, au sio? Hebu tuzungumzie kidogo basi na Champions League πPia ni tp mazembe ilofika nusu fainali shirikisho msimu ulopita ambapo wewe ulishindwa
Tuzungumze champion league kweni wewe ni champion wa nini?Shirikisho, au sio? Hebu tuzungumzie kidogo basi na Champions League π
wa League π π πTuzungumze champion league kweni wewe ni champion wa nini?
Ligi ya gongolamboto labda.wa League π π π
Halafu mbona unakuwa mkali nikitaka tuzungumzie CAF Champions League? πππ
Mkuu acha hasira. Hizo grade za ligi sijaziweka mimi, ni CAF. Ligi ya Mabingwa ndio inayopewa kipaumbele, halafu wale watakaoshindwa kwenye Ligi ya Mabingwa ndio wanateremshwa wakaungane na walioshindwa kupata nafasi tangu ndani ya ligi za nchi zao kucheza Kombe (sio ligi, ni kombe) la Shirikisho. Kwa hiyo ligi ni moja tu, Champions League, halafu chini yake ndio kuna kombe la shirikishoLigi ya gongolamboto labda.
Kwanini niwe mkali wakati kuna timu imecheza mechi 2 point 0 magoli 0
imecheza kwenye Champions League lakini, usiichanganye na taarifa za kombe la shirikishoKwanini niwe mkali wakati kuna timu imecheza mechi 2 point 0 magoli 0
Sasa kama unaelewa hilo sasa kwanini ushindi wa Yanga unaukejeli?Mkuu acha hasira. Hizo grade za ligi sijaziweka mimi, ni CAF. Ligi ya Mabingwa ndio inayopewa kipaumbele, halafu wale watakaoshindwa kwenye Ligi ya Mabingwa ndio wanateremshwa wakaungane na walioshindwa kupata nafasi tangu ndani ya ligi za nchi zao kucheza Kombe (sio ligi, ni kombe) la Shirikisho. Kwa hiyo ligi ni moja tu, Champions League, halafu chini yake ndio kuna kombe la shirikisho
Hata hizo taarifa nilizoweka hapo ni za champion league kwamba kuna timu Ina stats hizoimecheza kwenye Champions League lakini, usiichanganye na taarifa za kombe la shirikisho
Weee sema kweli π€£π€£π€£π€£Sasa wee nae TP mazembe ya jana nayo ni team??
Hata angekua Simba angeshinda tyuuh.
Nimeshangaa umeweka avatar ya mwarabu baada ya kufirimbwa bao tatuUnachunguza avatar za wanaume? Unashida pahala wewe