Simba haijawahi kupata ushindi mbele ya TP Mazembe hata kwenye mechi za kirafiki

Simba haijawahi kupata ushindi mbele ya TP Mazembe hata kwenye mechi za kirafiki

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Huu ndio ukweli ndugu zangu, Simba tumekuwa tukifungwa tu kila mara tunapokutana na Hawa wakongo na kibaya zaidi hata mechi za kirafiki wamekuwa wakitufunga.

Hadi mechi za sherehe yetu ya Simba day pia wamekuwa wakitufunga. Tuwape hongera Yanga [emoji617] Kwa kuifunga timu ambayo imekuwa ukituonea[emoji119][emoji1732][emoji1732]

86688-2e92faba11b79e9fa0136b94cb6dc4cd.jpg
100185630.jpg
E_qiPmWXEAQfUNX.jpg
 
Aisee mwarabu baada ya kuwafirimba bao 3 ndio mmeamua kumweka kwenye avatar kabisaa [emoji1787][emoji1787] kweli bao 3 za mwarabu sio mchezo
Unachunguza avatar za wanaume? Unashida pahala wewe
 
Sasa wee nae TP mazembe ya jana nayo ni team??
Hata angekua Simba angeshinda tyuuh.
 
Ligi ya gongolamboto labda.
Kwanini niwe mkali wakati kuna timu imecheza mechi 2 point 0 magoli 0
Mkuu acha hasira. Hizo grade za ligi sijaziweka mimi, ni CAF. Ligi ya Mabingwa ndio inayopewa kipaumbele, halafu wale watakaoshindwa kwenye Ligi ya Mabingwa ndio wanateremshwa wakaungane na walioshindwa kupata nafasi tangu ndani ya ligi za nchi zao kucheza Kombe (sio ligi, ni kombe) la Shirikisho. Kwa hiyo ligi ni moja tu, Champions League, halafu chini yake ndio kuna kombe la shirikisho
 
Sasa kama unaelewa hilo sasa kwanini ushindi wa Yanga unaukejeli?
 
imecheza kwenye Champions League lakini, usiichanganye na taarifa za kombe la shirikisho
Hata hizo taarifa nilizoweka hapo ni za champion league kwamba kuna timu Ina stats hizo
 
Back
Top Bottom