Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana.

Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi.

GSM WANAIPAMBANIA TEAM VIZURI NA MAZINGIRA YA KUWEKEZA ni mazuri. Sioni namna Simba itaweza kuja chukua Ubingwa awamu hii. Sioni kabisa.
 
Kwa hiyo unashauri nini? League ifutwe? Au ianzishwe nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…