Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe aliyewaambia habari ya kusogeza mechi nani? Mkikaa kukuna nazi ndiyo stori zenu hizi.Tarehe ya mechi iko pale pale. Hatutaki visingizio vya aina yoyote ile.
Vyura hao na ulimbukeni wao.Hivi hizi ni habari za michezo au ushabiki wa kijinga tu.
Mbona kuna ulimbukeni wa hovyo sana siku hizi.
Leta uchambuzi unaoeleweka.