Simba hakuna kusogeza mechi mbele

Simba hakuna kusogeza mechi mbele

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Simba SC ina Kikosi kipana, hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuairishwa kwa kisingizio cha Waydad!

Kuna watu kuanzia tarehe 16 watakuwa na wiki ngumu sana, huku Yanga, siku nne mbele Waarabu wanakusubil!

Twende mbele wana Lunyasi😀😀
2BE42FF8-501D-4683-AF36-0419A9FE712D.jpeg
 
Tarehe ya mechi iko pale pale. Hatutaki visingizio vya aina yoyote ile.
 
Hivi hizi ni habari za michezo au ushabiki wa kijinga tu.

Mbona kuna ulimbukeni wa hovyo sana siku hizi.

Leta uchambuzi unaoeleweka.
 
Nasikia Ingonga kaumia mechi ya jana na mnaenda Mbarali huko kwenye mashamba ya mpungu na sasa hivi mvua zinapiga, naona visingizio vitakuwa vingi kama ndio hivyo
 
Back
Top Bottom