Simba hamjawahi toka salama siku ya wanawake kaangalien history..Ahmed ally anawapotosha

Simba hamjawahi toka salama siku ya wanawake kaangalien history..Ahmed ally anawapotosha

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Niwakumbushe tu Wana Simba zimebki siku 7

NENDEN kafwatolein hamjawahi toka salama siku ya wanawake DUNIAN

Na hii nowajuza ili siku mkiona hii tar geuzeni njia mtaliaaa

Hii siku MSISHANGAE 4-6. Zonawanyeshea

Nawatakia kila la kheri
 
Tukiacha mahaba binafsi ya timu zetu! Tukubali tu Simba bado haina uwezo wa kuifunga Yanga iliyosheheni mastaa kibao kama Aziz Kii, Max Nzengeli, Prince Dube, Clement Mzize, Khalid Aucho, Ibra Baka, Dickson Job, na mastaa wengine wengi!!

Na ndiyo maana hata itokee Yanga ikafungwa, mashabiki wengi hatutegemei kuulaumu uongozi wa timu! Maana umetimiza wajibu wake kwa kusajili wachezaji wazuri. Badala yake lawama zitaenda kwa kocha aidha kwa kupanga kikosi dhaifu, au baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango.
 
Wahi matibabu mapema
1000251360.jpg
 
Ila TFF nao pimbi sana sometimes. Hivi hii mechi haiwezi kusogezwa mbele badala ya hiyo tarehe 8? Timu itakayofungwa wataitwa ni Wanawake. Wamefungwa kwakuwa ilikuwa siku yao. Fedheha kubwa sana hii.
 
Kwa hiyo kwa kuwa hawatoki salama siku ya wanawake hivyo kama yanga akishinda basi atakuwa ana uanamke ndani yake.Maana uanamke umefanya siku yake ndani ya WANAWAKE wenzake.
 
Tukiacha mahaba binafsi ya timu zetu! Tukubali tu Simba bado haina uwezo wa kuifunga Yanga iliyosheheni mastaa kibao kama Aziz Kii, Max Nzengeli, Prince Dube, Clement Mzize, Khalid Aucho, Ibra Baka, Dickson Job, na mastaa wengine wengi!!

Na ndiyo maana hata itokee Yanga ikafungwa, mashabiki wengi hatutegemei kuulaumu uongozi wa timu! Maana umetimiza wajibu wake kwa kusajili wachezaji wazuri. Badala yake lawama zitaenda kwa kocha aidha kwa kupanga kikosi dhaifu, au baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango.
Hicho kikosi kizuri ni kwa simba tu kwa MC sio kizuri?
 
Back
Top Bottom