Simba hamna cha kupoteza, Itakeni hii mechi na Wydad

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kiufupi Inawezekana.

Nyie wote ni Magiant Ndio maana mmebaki nane tu ; mnaweza kuitoa Wydad hata wakiwa na Vitimbi vipi.

Mkiitaka hii mechi kama wanavoitaka Wydad , mtatoboa. ILA mkienda na mambo
Ya kutaka kulinda Linda, na uwoga uwoga wa kimasikini na kuwa na lack of confidence inayotokana na Umasikini mtalowa nyingi, kama alivyoloa River goli 6 .

Wydad wanatabia ya kupenda kuimaliza mechi nchini kwao , vunjeni huo mwiko and surprise them ila tegemeeni upinzani wa maana . Si mnaona walivowasha moshi, sasa huko kwao tegemeni mambo Kama yale .

Wydad hawana maajabu, wekeni mpira chini , wacheze na nyie mcheze manina: Toeni hiyo comfort zone ya Robo fainali..... itakeni nusu fainali hao wahuni mnawatoa.

Kama mliweza kucheza kwa utulivu pale Lupaso , why not msiweze huko Morocco , acheni ujinga wa kucheza kimasikini mnapokuwa ugenini, jiaminini, wekeni mpira kati na mkimbizane mpaka dakika ya mwisho.

Hao ni watu tu kama nyie , na wanachoka Kama nyie .......kimbizaneni ......na mtambue hamna cha kupoteza.... mnawatoa hao wahuni.

Acheni mambo ya inshallah inshallah na akili za kifukara kuishia robo fainali ... for the past 5 years mnaishia robo fainali.... hamjioni nyie ni malofa na hamna growth path? Acheni huo umama mnatia aibu , katimu kanaibuka mwaka mmoja tu halafu kanaandika historia ya kucheza nusu fainali........ nyie magiant mnaishia ishia robo fainali pamoja na experience ya kila mwaka mnayoipata..... hivi nyie mnashida gani ?

Acheni ujinga huo jiaminini na, ekeni mpira chini maana mkitolewa itakuwa ni Sawa na mkiwato ni Sawa pia ,

A na B yote ni majibu so acheni unyonge na mkafanye kazi.

All the best
 
Unataka kutuponza tufunguke ugenini tukale nyingi.
Unakumbuka khasa za Al Ahly? ilikuwa hivi hivi half time khamsa tayari. Kurudi kipindi cha pili tukaanza kijilinda zisiongezeke na kweli hawakutufunga tena hata goli moja.
Tungeendelea na ujuaji nyumbani kwa watu zingefika ihdaashara (11) au ithnaashara (12).
 
Tunashukuru sana mkuu hakika hao waydada watatukoma dadekiii
 
Umehamasisha vyema mkuu. Japo nimeona woga ndani yako ila unajihami huogopi kitu😳😳.
 
Umenikumbusha kipindi kile the so called Askofu Kakobe yuko on fire dizaini kama Mwamposa kwasasa hivi bas akaletwa mlemavu anatembea kwa magongo yake Askofu akaanza kumpa moyo " Leo utatembea kwa jina la Yesu nakuambia" SI akampokonya magongo bwana eti kapona akamuamuru atembee Wee!! Kwan alifika mbali hatua mbili tu chali miguu juu anaanza kuomba aletewe magongo yake na alivyopewa tu huyo akasep

I think u knw wat I mean!!
 
Mamelod 5 years anaishia robo pia inategemea na mazingira tu sio unyonge wala kuzubaa.

Juve na kuchukua kwake Scudetto huku akicheza fainali mbili za UEFA ndani ya kipindi hicho alishindwa kuchukua UEFA CL japo mara 1 tu sometimes bahati tu inatokea japo naungana na wewe kwamba Simba lazima wacheze kiume na kidume haswa maana hiyo ni pesa na heshima hivyo kila timu inahitaji pesa na heshima.Wapambane maana hata kwa Raja kama sio blanders za Onyango mechi huenda ingeisha kwa Simba kushinda au kupata sare ya 1-1 uwanja huohuo tunaodai unatisha kama njaa.

Muhimu ni kuamini inawezekana na miguu iambiwe it's time to prove inawezekana yaani kila mchezaji awe na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi tu naamini mbinu mwl Robertinho atamaliza kabisa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Parapanda italia parapanda, parapanda italia parapanda....
 

Kwani kunatafauti gani kati ya uwanja wa Mkapa na Morocco?
 

Ha ha , so hakutembea
 
Umehamasisha vyema mkuu. Japo nimeona woga ndani yako ila unajihami huogopi kitu[emoji15][emoji15].

Ha ha ha hakuna cha uoga, wakacheze mpira........ kuna shida pia kwenye Spirit ya hawa players wa Simba. Yaani hawanaga ile die hard game .......... wangekuwa na île Die hard game pale kwa mkapa mpemba angekufa 4
 
Huyu anataka Mnyama akapasuke nyingi ukapishane na Wydad Moto Kwa Moto kwake wewe thubutu...
Hata hao Wydad kuna muda walicheza kwa nidhamu walirudisha jeshi nyuma hapo lupaso..
 
Mm Ni mwananchi lkn nitafurahi sn mnyama akitinga nusu[emoji122]
 
Uwezo, uwezo, uwezo, uwezo, nafikiri umenielewa namaanisha nini!
 
katika hili tuko pamoja
 
Bila ya inshaAllah huwezi kutoboa kilaza weee!! Kesho ipo katika milki ya Mungu. Tunatanguliza inshaallah kisha tunaweka juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…