Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kiufupi Inawezekana.
Nyie wote ni Magiant Ndio maana mmebaki nane tu ; mnaweza kuitoa Wydad hata wakiwa na Vitimbi vipi.
Mkiitaka hii mechi kama wanavoitaka Wydad , mtatoboa. ILA mkienda na mambo
Ya kutaka kulinda Linda, na uwoga uwoga wa kimasikini na kuwa na lack of confidence inayotokana na Umasikini mtalowa nyingi, kama alivyoloa River goli 6 .
Wydad wanatabia ya kupenda kuimaliza mechi nchini kwao , vunjeni huo mwiko and surprise them ila tegemeeni upinzani wa maana . Si mnaona walivowasha moshi, sasa huko kwao tegemeni mambo Kama yale .
Wydad hawana maajabu, wekeni mpira chini , wacheze na nyie mcheze manina: Toeni hiyo comfort zone ya Robo fainali..... itakeni nusu fainali hao wahuni mnawatoa.
Kama mliweza kucheza kwa utulivu pale Lupaso , why not msiweze huko Morocco , acheni ujinga wa kucheza kimasikini mnapokuwa ugenini, jiaminini, wekeni mpira kati na mkimbizane mpaka dakika ya mwisho.
Hao ni watu tu kama nyie , na wanachoka Kama nyie .......kimbizaneni ......na mtambue hamna cha kupoteza.... mnawatoa hao wahuni.
Acheni mambo ya inshallah inshallah na akili za kifukara kuishia robo fainali ... for the past 5 years mnaishia robo fainali.... hamjioni nyie ni malofa na hamna growth path? Acheni huo umama mnatia aibu , katimu kanaibuka mwaka mmoja tu halafu kanaandika historia ya kucheza nusu fainali........ nyie magiant mnaishia ishia robo fainali pamoja na experience ya kila mwaka mnayoipata..... hivi nyie mnashida gani ?
Acheni ujinga huo jiaminini na, ekeni mpira chini maana mkitolewa itakuwa ni Sawa na mkiwato ni Sawa pia ,
A na B yote ni majibu so acheni unyonge na mkafanye kazi.
All the best