UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Hutaki au unataka huo ndiyo ukweli, kama ni sumu nendeni mkakoroge mnywe kama hamtotaka maumivu kwa miaka 8 ijayo.
Simba haiwezi kamwe kuchukua ubingwa mbele ya Yanga iliyobora (Isiyotembeza bakuli). Mara zote Simba amekuwa akichukua ubingwa mbele ya Yanga yenye migogoro na inayoyumba kiuchumi.
Yanga huwa inachukua ubingwa mbele ya Simba bora isiyo na matatizo ya kiuchumi, sasa taarifa ni kwamba hili kombe la NBC PREMIER LEAGUE hamtokaa mchukue Kipindi chote cha utawala wa Eng Hersi na wenzie kwani wameisuka Yanga na haina migogoro.
Ponapona ya Simba Muombe Yanga ipate migogoro ndipo mtaweza kuchukua kombe lakini vinginevyo andikeni maumivu.
Endeleeni kumlipa Jemedari na wenzie wakoleze moto sawa sawa kwa kuiponda Yanga huenda ukalipa!.
ONYO :
Njoo kwa Tahadhari, mbele kuna kona kali!.